Skip to main content

maarifa Jinsi ya kuunloack simu ya android

Ni rahisi sana kutoa lock ya aina yoyote kwa simu zenye mfumo wa
android OS. Zipo sababu nyingi zinazopelekea mtu kusahau password au
pattern aliyoiweka katika simu yake sasa huna haja ya kuwafata
mafundi na kupoteza hela zako.. wala huna haja ya kupanik hata kidogo
ungana nami katika mada hii kutatua tatizo mwenyewe
Unachotakiwa kufanya katika kufanikisha hili fuata hatua hizi chache tu
utakuwa umemaliza kazi


HATUA 1:
Zima simu yako na kutoa betri kwa muda wa dakika kama tano tu arafu
rudisha betri katika simu kwasababu unaweza ukaizima simu kumbe
imerestart au imesleep ndo mana tunashauri utoe betri na uiache kwa
dakika tano kisha uirudishe katika simu yako




HATUA 2:
Simu nyingi za android zinakuwaga na kitufe cha kuwashia, kitufe cha
home pamoja na vitufe vya sauti ambavyo ni kupandisha sauti na
kushusha sasa unachotakiwa kufanya ni kubonyeza kitufe cha kuongeza
sauti na kitufe cha kuwashia pamoja na kitufe cha home (kitufe cha
sauti juu + kitufe cha home + kitufe cha kuwashia) kwa muda wa dakika
moja au tatu mpaka iwake skilini nyeusi yenye maandishi ya kijani au
blue


HATUA 3:
Hapo utatumia vitufe vya sauti kuchagua na kitufe cha kuwasha kwaajili
ya kuiruhusu menyu hiyo menyu kisha chagua wipe data/Factory reset ili
kufuta kumbukumbu zote za simu ikiwemo na password,pin au pattern
baada ya hapo utasubilia kwa muda ifute vitu vyote mwisho kabisa
itawaka yenyewe bila password,pin au pattern
NOTE:
Kwa wale ambao simu zao hazina kitufe cha home mnaweza kutumia
1.kitufe cha kuwasha + kitufe cha sauti juu au 2.kitufe cha kuwasha +
kitufe cha sauti juu + kitufe cha sauti chini.... ASANTENI KAMA
UMEIPENDA MADA HII AU UNA SWALI NAKURUHUSU UULIZE KATIKA
COMMENT NITAKUJIBU

Comments

  1. JackpotCity Casino Site - Lucky Club Live Casino
    JackpotCity is a trusted online gambling platform that offers thousands of slots, table games and live games from the top providers of Microgaming, luckyclub

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

JINSI YA KURUDISHA DOCOMENT ZILIZOFUTIKA KATIKA SIMU

Sio kitu kipya wote tumeshawahi fanya, kwa bahati mbaya tulishawahi kufuta taarifa zetu kama vile picha au hata video. Kama ikitokea hivyo tena usikasirike, ITphidel nakuletea njia. Sawa kama nlivyosema kuwa unaweza ukapata taarifa zako zote ambazo ulifuta kwa bahati mbaya lakini kabla ya kuzipata kuna mambo inabidi uyafanye • Usihifadhi (save) kitu kingine chochote katika simu kifaa chako au izime mpaka ukiwa unampango wa kufufua vitu vyako • Zima WiFi na njia za mawasiliano za 2G/3G ili masashisho (update) yanayofanyikaga automatiki yasifanyike. Kumbuka kama yakifanyika, mafaili mapya yanaweza jiweka juu ya yale ambayo unataka kutafufua Tuifahamu Njia Kama Mafaili Yako Yapo Katika Memori Kadi Ukishaona mafaili yako yamefutika bahati mbaya – au hata kwa makusudi – kitu kinachofuata ni kuunganisha kompyuta yako na simu kwa kutumia USB. Kuna baadhi ya matoleo ya vifaa vya android, ukichomeka USB katika kompyuta haijionyesha katika mfumo ule wa ‘kuonekana kama umechomeka Flash tu

App 5 Muhimu Za Kuwa Nazo Katika Simu Janja yako!

Kwa watu wengi sana simu janja zao ndio kila kitu (ukitaka kuamini angalia sura zao pindi wanapoibiwa) unaweza kutumia simu hizo kufanya karibia kila kitu Kuanzia kwenye kufanya manunuzi ya vitu,kuelekezwa mitaa, kuangalia barua pepe na hata kuwasiliana na ndugu pamoja na jamaa. Mambo ya kufanya na simu janja ni mengi sana hata nikitaja sitayamaliza. Ukiachana na kila kitu ambacho simu janja yako au tablet inachoweza kufanya inabidi uhakikishe kuna App za muhimu katika simu yako ambazo zitarahisisha ufanyikaji wa mambo hayo kwa namna ya kipekee. KUTAFUTA SIMU ILIYO POTEA/IBWA Hivi unajua hakuna mda mzuri wa kuibiwa? Chochote kama kweli ni chako kikiibiwa lazima uumie sana. Nshashuhudia dada kaibiwa simu akaanza kulia! (hizi smatifoni bwana, Hah!). hapo awali ilikua kama mtu ukiibiwa au ukipoteza simu yako matumaini ya kuipata tena hakuna kabisa Lakini asante kwa Find My iPhone (ya iOS) na Android Device Manager (ya android) sasa tuna matumaini ya kupata vitu

TENGENEZA KIPATO KUPITIA FACEBOOK

Mara nyingi wengi wetu tumezoea kutumia social network mbalimbali kama kujiburudisha bila kujua kwamba kila mtandao wa kijamii una njia ya kukutengenezea kipato kikubwa. leo nimeona nianze kukufundisha njia ya kuingiza pesa kupitia facebook  ILI KUTENGENEZA KIPATO KWA NJIA FACEBOOK UNATAKIWA KUWA NA VITU VIFUANTAVYO 1. Unatakiwa uwe na accont ya bank 2.Uwe na creditcard ya mastercard au visacard  3. unatakiwa  uwe na account ya paypal kwa ajili ya kupokea payment kutoka kwenye mtandao wowote wa kijamii utakaojiunga nao ukiwa na hivyo vitu unaweza kutengeneza pesa nyingi kwa mwezi mmoja CHANZO CHA KIPATO Vipo vyanzo vingi au njia nyingi za kutengeneza kipato ndani ya fb leo nitaelezea njia ambayo ni rahisi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuitumia bila kuwa mtaalamu sana  njia hiyo ni ya kulipwa kwa like  kwa hiyo unalipwa kwa kupata like unazozipata kwenye page yako au group ndani ya facebook zipo njia kuu mbili za kufanya trick upate like nying  njia ya kwanza ni