Skip to main content

Posts

TENGENEZA KIPATO KUPITIA FACEBOOK

Mara nyingi wengi wetu tumezoea kutumia social network mbalimbali kama kujiburudisha bila kujua kwamba kila mtandao wa kijamii una njia ya kukutengenezea kipato kikubwa. leo nimeona nianze kukufundisha njia ya kuingiza pesa kupitia facebook  ILI KUTENGENEZA KIPATO KWA NJIA FACEBOOK UNATAKIWA KUWA NA VITU VIFUANTAVYO 1. Unatakiwa uwe na accont ya bank 2.Uwe na creditcard ya mastercard au visacard  3. unatakiwa  uwe na account ya paypal kwa ajili ya kupokea payment kutoka kwenye mtandao wowote wa kijamii utakaojiunga nao ukiwa na hivyo vitu unaweza kutengeneza pesa nyingi kwa mwezi mmoja CHANZO CHA KIPATO Vipo vyanzo vingi au njia nyingi za kutengeneza kipato ndani ya fb leo nitaelezea njia ambayo ni rahisi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuitumia bila kuwa mtaalamu sana  njia hiyo ni ya kulipwa kwa like  kwa hiyo unalipwa kwa kupata like unazozipata kwenye page yako au group ndani ya facebook zipo njia kuu mbili za kufanya trick upate like nying  njia ya kwanza ni
Recent posts

JINSI YA KUFORCE AU KULAZIMISHA SMARTPHONE YAKO KUTUMIA 2G, 3G Au 4G PEKEE

Internet  ni kitu cha muhimu sana na ambacho karibu watumiaji wote wa smartphones hukizingatia kwanza. Lakini kuna baadhi ya watumiaji wa smartphones wamekuwa wakikubwa na matatizo ya simu zao kutomuwa na mtandao wa internet ambao haueleweki mara 2g mara 3g,  4g  pasipo ruhusa ya mtumiaji.  UNAJUA KWA NINI HALI HII HUTOKEA???!!.   Frequencies za mtandao hubadilishana kutokana na matumizi ya internet kwenye eneo husika, hivyo suala la smartphone kujichagulia mtandao yenyewe hutegemeana frequencies za mtandao upi unaokuwa na nguvu ndani ya muda husika.  Kama frequencies za  2g ,   3g   au   4g   Zitakuwa na nguvu basi smartphone yako itakachagua mtandao wa kutumia yenyewe.  KAMA SMARTPHONE YAKO INAJICHAGULIA  2G, 3G, AU 4G BILA WEWE KUPENDA BASI FANYA YAFUATAYO  Kama unatumia smartphone ya >>>>>>>>> #ANDROID  ​ FANYA HIVI KIURAHISI: NENDA SEHEMU YA KUANDIKIA NAMBA BONYEZA >>>  *#*#4636#*#*   kama inakataa download application y

App 5 Muhimu Za Kuwa Nazo Katika Simu Janja yako!

Kwa watu wengi sana simu janja zao ndio kila kitu (ukitaka kuamini angalia sura zao pindi wanapoibiwa) unaweza kutumia simu hizo kufanya karibia kila kitu Kuanzia kwenye kufanya manunuzi ya vitu,kuelekezwa mitaa, kuangalia barua pepe na hata kuwasiliana na ndugu pamoja na jamaa. Mambo ya kufanya na simu janja ni mengi sana hata nikitaja sitayamaliza. Ukiachana na kila kitu ambacho simu janja yako au tablet inachoweza kufanya inabidi uhakikishe kuna App za muhimu katika simu yako ambazo zitarahisisha ufanyikaji wa mambo hayo kwa namna ya kipekee. KUTAFUTA SIMU ILIYO POTEA/IBWA Hivi unajua hakuna mda mzuri wa kuibiwa? Chochote kama kweli ni chako kikiibiwa lazima uumie sana. Nshashuhudia dada kaibiwa simu akaanza kulia! (hizi smatifoni bwana, Hah!). hapo awali ilikua kama mtu ukiibiwa au ukipoteza simu yako matumaini ya kuipata tena hakuna kabisa Lakini asante kwa Find My iPhone (ya iOS) na Android Device Manager (ya android) sasa tuna matumaini ya kupata vitu

How To Reset An Android Phone  

Android phones are one of the biggest competitors for apple IOS. One of the biggest reasons behind android success is that we can get thousands of free applications from google play. But sometimes excessive installation of these applications slows down the phone. In this situation resetting your android phone is a good choice, But as we all know, that formatting an android phone is a complicated process and if not followed properly can damage your phone. So today we are posting 3 different ways to reset your android phone. How to Reset an Android Phone Before using this guide, Please note that resetting android phone will erase all your phone data. Before proceeding, Please take complete backup of your android phone and unplug memory card and SIM card from your android phone. It’s also recommended that charge the mobile phone battery up to 50%. 1) Reset Android Phone by Factory Reset Settings: This is the easiest way to reset an android phone, To reset your android phone u

KILA SIKU FIKIRIA NA JIFUNZE KWA BIDII UTAFANIKIWA

          JIFUNZE KWA WALIOFANIKIWA Ukitaka kufanikiwa kaa karibu na jifunze kwa waliofanikiwa, hili ni jambo wengi wanalisahau sana wanapo kuwa wanatafuta mafanikio. Mafanikio hayaji tu kutokea hewani kimiujiza, kiuhalisia wote tunajua ukitaka kufanikiwa lazima ufanye baadhi ya mambo yafuatayo; – uwe na wazo la biashara au mradi – mtaji – ujitume kwa bidii – uwe mvumilivu sio mwepesi kukata tamaa – kujiamini – na mengineyo unaweza kuongeza kwenye boksi la maoni Lakini pamoja na kufanya hayo yote bado unahitaji kuwa na MENTOR, yani mtu au watu wanaofanya mradi kama wako lakini wao tayari wamekwisha fanikiwa na wana uzoefu wa hilo jambo, itakuwa rahisi kwako kupata ujuzi na uzoefu kutoka kwao. Unaweza ukajikuta makosa walio fanya wao wewe ukayaepuka maana una mtu wa kukupa mwongozo Kumbuka pia watu walio karibu na wewe wana nafasi kubwa ya kukujenga au kukubomoa, maana ukikaaa karibu na wajasiriamali waliofanikiwa ni rahisi kwao kukupa moyo unapokabiliana na ch

MAARIFA: JIFUNZE JINSI YA KUSAMEHE

ila ninapotafakari kuhusu shukrani huwa nakumbuka kisa cha zamani cha simba aliyejeruhiwa. Kulikuwa na mzee aliyejenga nyumba yake katikati ya msitu. Siku moja jioni alikuwa ameketi upenuni mwa nyumba yake akichonga mpini wa jembe. Mara akashtuka alipoona kitu kizito kimetua begani kwake na kuning’inia mbele ya kifua chake. Kwa mshangao mkubwa akagundua kuwa ulikuwa mguu wa simba. Ulikuwa unavuja damu nyingi kwa kuwa ulikuwa umechomwa na kipande cha mti chenye ncha kali. Mzee aliingiwa na woga mkubwa akataka kukimbia lakini akamwonea huruma yule simba. Akaushika ule mguu na kuchomoa kile kipande cha mti. Simba aliposaidiwa akamtazama yule mzee kwa muda na kuondoka akielekea msituni. Baada ya siku chache simba alirejea nyumbani kwa mzee huku akiwa amebeba swala mkubwa. Alipofika akamtazama yule mzee usoni, akamtua yule swala, akafanya ishara fulani na kuondoka akirejea msituni. Mzee akabaki ameduwaa kwa kuona jinsi simba alivyomshukuru kwa kumletea zawadi. Kisa hiki kinatuonyesha ta

JINSI YA KURUDISHA DOCOMENT ZILIZOFUTIKA KATIKA SIMU

Sio kitu kipya wote tumeshawahi fanya, kwa bahati mbaya tulishawahi kufuta taarifa zetu kama vile picha au hata video. Kama ikitokea hivyo tena usikasirike, ITphidel nakuletea njia. Sawa kama nlivyosema kuwa unaweza ukapata taarifa zako zote ambazo ulifuta kwa bahati mbaya lakini kabla ya kuzipata kuna mambo inabidi uyafanye • Usihifadhi (save) kitu kingine chochote katika simu kifaa chako au izime mpaka ukiwa unampango wa kufufua vitu vyako • Zima WiFi na njia za mawasiliano za 2G/3G ili masashisho (update) yanayofanyikaga automatiki yasifanyike. Kumbuka kama yakifanyika, mafaili mapya yanaweza jiweka juu ya yale ambayo unataka kutafufua Tuifahamu Njia Kama Mafaili Yako Yapo Katika Memori Kadi Ukishaona mafaili yako yamefutika bahati mbaya – au hata kwa makusudi – kitu kinachofuata ni kuunganisha kompyuta yako na simu kwa kutumia USB. Kuna baadhi ya matoleo ya vifaa vya android, ukichomeka USB katika kompyuta haijionyesha katika mfumo ule wa ‘kuonekana kama umechomeka Flash tu