Internet ni kitu cha muhimu sana na ambacho karibu watumiaji wote wa smartphones hukizingatia kwanza. Lakini kuna baadhi ya watumiaji wa smartphones wamekuwa wakikubwa na matatizo ya simu zao kutomuwa na mtandao wa internet ambao haueleweki mara 2g mara 3g, 4g pasipo ruhusa ya mtumiaji. UNAJUA KWA NINI HALI HII HUTOKEA???!!. Frequencies za mtandao hubadilishana kutokana na matumizi ya internet kwenye eneo husika, hivyo suala la smartphone kujichagulia mtandao yenyewe hutegemeana frequencies za mtandao upi unaokuwa na nguvu ndani ya muda husika. Kama frequencies za 2g , 3g au 4g Zitakuwa na nguvu basi smartphone yako itakachagua mtandao wa kutumia yenyewe. KAMA SMARTPHONE YAKO INAJICHAGULIA 2G, 3G, AU 4G BILA WEWE KUPENDA BASI FANYA YAFUATAYO Kama unatumia smartphone ya >>>>>>>>> #ANDROID FANYA HIVI KIURAHISI: NENDA SEHEMU YA KUANDIKIA NAMBA BONYEZA >>> *#*#4636#*#* kama inakataa download application y
karibuni wapenzi katika blog pendwa ambayo utajifunza mambo mbalimbali na ikiwa utakuwa na maoni ya kutaka kujua juu ya kitu chochote usisite kutoa maoni