Skip to main content

Posts

MAARIFA:ITAMBUE MITI MAARUFU HAPA TANZANIA

u Ifuatayo ni baadhi ya miti maarufu Tanzania iwe ili pandwa au ilijiotea yenyewe.Baadhi ya miti imekuwa kivutio kutokana na historia na faida yake kwa jamii.Miti ni viumbe hai vinavyojumuisha uzito hai kama ilivyo kwa wanyama na uhai wake ni muhimu kwa dunia endelevu.Miti imechangia katika dhima mbalimbali iwe historia ,elimu,utamaduni,harakati na utalii.Miti ifuatayo ni maarufu kutokana na kuvutia watalii,wasomi na watu wadini na wa matambiko kutoka maeneo tofauti Tanzania na dunia kwa ujumla. Mdegree Tree (FICUS) Mti huu unapatikana katika chuo kikuu cha Dar es Salaam ni mti maarufu uliopandwa mwaka 1960 na raisi wa kwanza wa Tanzania Mwl J. # Nyerere .Mti huu ulioko mbele ya ukumbi wa Nkuruma hall unaopatia wanafunzi kivuli cha kusoma na kupata degree zao.Mahali pa mti huu ndipo harakati za maandamano na migomo ya wanafunzi huanzia.Mahali hapa pa mti huu pana mazingira mazuri ya kusomea pamoja na mtandao wa bure. Image Mwembe waliokutana Dr David Livingstone na...

maarifa Jinsi ya kuunloack simu ya android

Ni rahisi sana kutoa lock ya aina yoyote kwa simu zenye mfumo wa android OS. Zipo sababu nyingi zinazopelekea mtu kusahau password au pattern aliyoiweka katika simu yake sasa huna haja ya kuwafata mafundi na kupoteza hela zako.. wala huna haja ya kupanik hata kidogo ungana nami katika mada hii kutatua tatizo mwenyewe Unachotakiwa kufanya katika kufanikisha hili fuata hatua hizi chache tu utakuwa umemaliza kazi HATUA 1: Zima simu yako na kutoa betri kwa muda wa dakika kama tano tu arafu rudisha betri katika simu kwasababu unaweza ukaizima simu kumbe imerestart au imesleep ndo mana tunashauri utoe betri na uiache kwa dakika tano kisha uirudishe katika simu yako HATUA 2: Simu nyingi za android zinakuwaga na kitufe cha kuwashia, kitufe cha home pamoja na vitufe vya sauti ambavyo ni kupandisha sauti na kushusha sasa unachotakiwa kufanya ni kubonyeza kitufe cha kuongeza sauti na kitufe cha kuwashia pamoja na kitufe cha home (kitufe cha sauti juu + kitufe cha ho...

Maarifa mbinu jinsi ya kuwa na maendeleo maishani

Watu wengi wanashindwa kujua maana halisi ya mtaji. Wengi wanafikiri labda mtaji lazima iwe fedha, lakini kiukweli mtaji ni zaidi ya fedha. mtaji inaweza kuwa ni vingi vingi mbali na fedha. Mtaji ni nini? Mtaji ni kitu chochote ambacho unaweza kutumia kuanzishia biashara yako na kupata faida. kwa hiyo mara nyingine sio fedha inaweza kuwa ni kitu fulani cha aina fulani, linaweza kuwa ni jambo fulani, mahusiano ,ni watu, ni mtandao ulionao, labda ni wazo zuri sana unakuwa nalo, ama ni jina jema katika jamii. Kwa hiyo vyote hivi vinaweza kuwa ni mtaji wa kuanza na kudumu ambavyo vinaweza kubadilishwa na kuwa katika form ya pesa. Kumbe mtaji sio fedha tu. Njia hizo ni kama ifuatavyo 1. Mtaji mbadala Tunapozungumzia mtaji mbadala hapa tunamaanisha ni yale mambo ambayo ingebidi utumie fedha hutatumia fedha , utatumia kwa mfano nguvu zako mwenyewe, au jasho mwenyewe,, au maarifa fulani,au jina mtu mwingine, au utakopa ,au kuazima , au ubunifu, ndio unakuwa tayari umetumia ...